Balaa alilofanya Diamond Platinumz Meru kenya ni Hatari Akizungumza na radio maisha ya nchini kenya asema watu wategmee ujio wa album yake mpya ambayo imesheeni nyimbo sa kimataifa na ataweka udambwi mwingi na mashabiki wategemee vitu vizuri kutoka kwake ambapo safari yake ijayo anaelekea jijini Los Angeles, Marekeni kumalizia Video Yake na mkali Neyo wa Marekani

1 comment:

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.