VIDEO: YOUNG DEE ATOA WIMBO MPYA KAMA POLE YAKE KWA DOGO JANJA KWA KUFIWA NA BABAYAKE
Katika tasnia ya Muziki ni mara chache sana kuona mastaa ufarijiana lakini ni kitendo cha tofauti alichokionesha young dee kupitia wimbo wake wa Furaha akisema kuwa ameachia wimbo huo ikiwa ni katika kumfariji msanii mwenzie Dogo Janja katika kipindi hiki kigumu ambacho anapitia na kutoa pole zake za dhati kwa Dogo janja kwa kufiwa na baba yake, Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya mzee wetu pole sana Dogo Janja.

Leave a Comment