SALAMA JABIR KUWA MTANGAZAJI WA KWANZA KU-HOST TUZO ZA EATV 2016


Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Mkasi na Ngazi kwa Ngazi Salama Jabir, ametangazwa kuwa host wa tuzo za EATV 2016 zitakazotolewa mwezi huu.
Salama Jabir anasifika kwa kuwa mkweli, utanashati, urembo, na ana ujuzi katika tasnia ya utangazaji kwa miaka kumi.
Atakuwa na kazi mbali mbali pale kwenye stage lakini moja ya kazi hizo ni kukuburudisha , kukuelimisha na kukuchekesha. Historia mpya itaandikwa kupitia mtangazaji huyu kwa kuwa mtu wa kwanza ku-host tuzo hizo.

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.