By @lemutuz_nation - LIVE STRAIGHT TALK:- Nilikuwa nasubiri baada ya ajali kwako @darassacmg
najua now umepona upo sawa pamoja na kushitushwa na ajali lakini la
msingi nimeshitushwa na jinsi ulivyopata ajali please sikutegemea at
this stage unapopiga "WIMBO WA TAIFA" bado utaendelea kusafiri kwenye
level ambazo hata mimi SOCIAL MEDIA KING nilishazipita that was a shock
to me nilidhani huu ni wakati wako wa kusafirina Airbus mpaka Mwanza
halafu promoters wanakukodia ndege kutoka Mwanza mpaka Kahama ukiwa na
kundi la angalau watu 5 ....please kaa chini jitathmin tena enzi za Show
za Vichochoroni zimeisha now it is your time kataa pesa ndogo upate
kubwa huwa inaiuma sana kukataa Dola 2,000 but bila kukataa hutapata
pesa kubwa na perks kubwa muamuzi ni wewe sio wanaokuzunguka
nakuhakikishia kwa Miungu yangu yote wewe sasa ni wa Tsh. 15M mpaka 20M
per Show ....halafu management yako inatakiwa kupigana sana kufufua
miziki yako ya zamani ambayo haiku hit lakini ni mikali sana nafasi ni
sasa hairudii mara mbili ikiisha imetoka pigana upate CASH CAUSE CASH IS
THE KING ....anayekutaka sasa ni lazima akulipie ndege wachana na
safari za magari madogo na ikibidi kama sehemu ina pesa lakini ni mbovu
waachie pesa yao linda heshima ya jina lako ....niliwahi kuitwa kikazi
Lindi nikakataa kwa sababu hakuna ndege Airbus na hamna Five Star Hotel
nikakataa Mahela yao mengi U know so please jifunze how to play the next
level game you have the juice sasa hivi kuna mahela kibao ya Kolabo
unachohitaji ni Super Management ni ushauri wa bure tu na kwa nia njema
sana unapotuona sisi kila wakati tunarusha picha tukiwa kwenye ndege na
mahoteli makubwa kuna wanaodhani tunajiringishia tu na ujiko kumbe
usichokijua ni huwa tunatuma ujumbe kwa wanaotuhitaji kibiashara kwamba
itakugharimu like this hahahahaha....Darassa muziki in you hauozi kama
hawataki kulipa usipige tu lakini usikubali kufa masikini na huku
umepiga "WIMBO WA TAIFA"! - le Mutuz Nation -
Leave a Comment