KAMA ULIMISS KIKAO KATI YA WANANCHI WA KIGAMBONI NA MBUNGE NDUNGULILE, KILA KITU KIPO HAPA

Mbunge wa Jimbo la Kigamboni ambalo ni wilaya mpya ya mkoa wa Dar es salaam kwa sasa Mheshimiwa Faustine Ndungulile(Mb) amefanya mkutano na wananchi wa kata yaTungileo Kigamboni, Dar es salaam. Mkutano uliokuwa na malengo ya kuelezea michakato na kutoa mrejesho wa masuala mbalimbali ya kimaendeleo ya jimbo la Kigamboni pamoja na kusikiliza kero mbalimbali kutoka kwa wananchi wa Kigamboni hususa ni mtaa waTungi.
Hii ni moja ya uwepo wa uchapa kazi wa Mbunge huyu kwa wananchi wake wa kigamboni.
Tizama picha za mkutano huo hapa chini.



Mh. Faustine Ndungulile(Mb) akiteta jambo na Katibu kata ya Tungi


 Wananchi wakifuatilia kwa makini wakati Mheshimiwa Mbunge akizungumza





Mh. Faustine Ndungulile akielezea kitu
 


Mwananchi akiuliza swali
 


Mh. Ndungulile(Mb) akisalimiana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano


No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.