DIAMOND PLATNUMZ APATA MTOTO WA KIUME LEO TAREHE 6 DISEMBA 2016, UTATA WA KUCHAGUA JINA WAIBUKA
![]() ![]() |
| Hizi ni picha za awali kabisa mbili alizozipost diamond mara baada ya mtoto kuzaliwa hapa ni miguu ya mtoto uyo wa kiume. |
![]() |
| Picha ikionesha vidole vya mkononi vya mtoto uyu wa Diamond Platnumz na Zari the bosslady. |

| Diamond akiwa south Africa na mama yake mzazi bi sandra na mpenzi wake zari kabla ya zari kujifungua |
![]() |
| Zari the bosslady baby mama wa Diamond Platnumz. |





Leave a Comment