DARASSA AWAOMBEA MSAMAHA KIAINA YAKE WANAOSHIKILIWA NA POLISI KISA WIMBO WAKE
![]() |
Darassa |
darassacmg Hawa ndugu zetu nimepata taarifa wamekamatwa kwa kosa la kutaka kusababisha ajali na unaweza kuona Kama mchezo ulielekea kubaya, ingeweza kua Tatizo kwao Au kumu sababishia mwingine, Naskia watakua mahakamani Leo I'm not so sure naendelea kufatilia, na nawaombea Tatizo hili Mungu awafanyie wepesi I'm sure wamejifunza Hawawezi kufanya tena mistake Kama Hii itokee, mizuka feelings mtu anaweza kufanya kitu njee ya mipango yake sometimes, Mungu awasaidie 🙏🏽 LENGO NI KUJENGA DUNIA KUA SEHEMU NZURI NA SALAMA KUISHI #Muziki
Dereva mmoja anashikiliwa na polisi kwa kuacha usukani wa kosta alilikuwa anaendesha na kucheza nyimbo ya darasa bila kujali usalama wake barabarani wapandishwa kizimbani yeye na wenzake kujibu tuhuma hzo.
Leave a Comment