ALIKIBA, NAVYKENZO, MANFONGO, GABO, LADY JAY DEE WAFUNGA MWAKA VIZURI KWENYE EATV AWARDS 2016



Hizi ni hatua nyingine nzuri katika sekta ya burudani ambayo inasaidia kuwapa moyo wasanii na kuona thamani ya kile wanachokifanya katika muziki imekuwa ni kitu kizuri kwa sababu Tuzo humpa msanii heshima na kujua ni jinsi gani mziki wake unawafikia watu na kumfundisha kuweka juhudi katika anachokifanya kufikia malengo zaidi na pia nawapongeza EATV kwa kuja na idea nzuri kama hii ambayo pia imeweza kugusa tasnia yote ya sanaa hapa nchini na ubunifu wa aina yake kwa msanii kuji nominate heshima sana kwao na pongezi ziende kwa washindi na wasiopata pia ni washindi huu ni mwanzo wao mpya wa kupambana zaidi.

Washindi wa tuzo hizo: Mwanamuziki Bora Chipukizi ni Man Fongo huku tuzo ya Kundi Bora la Mwaka ikichukuliwa na kundi la Navy Kenzo.

Kwa upande wa  msanii Bora wa kike imeenda kwa Msanii Chuchu Hans na Msanii Bora wa kiume ikinyakuliwa na Gabo. Kwa upande wa Mwanamuziki Ali Kiba ameibuka mshindi wa wimbo bora wa Aje.
Aidha Msanii Ali Kiba alifanikiwa kutwaa  tuzo tena nyingine mbili ikiwemo ya Video Bora Mwanamuziki Bora wa Kiume.
Pia kwa upande wa msanii  Gabo amefanikiwa kutwaa tuzo ya mtunzi Bora kupitia  filamu ya Safari ya Gandu. Msanii Lady Jaydee amefanikiwa kutwaa tuzo bora ya msanii wa kike  kwa Afrika Mashariki.
Kwa upande wa tuzo ya heshima imekwenda kwa mwendesha muziki nguli nchini, Bon Love

 dsc_0202
dsc_0072
mwamba joh makin

dsc_0089

dsc_0094
dsc_0098

dsc_0113
mh.ally

dsc_0117
dully sykes na Hk

dsc_0120
dsc_0127
dsc_0162
dsc_0190
darassa


Share ,comment kwa kutupa mawzo yako mdau wangu.

1 comment:

  1. Playtech: The evolution of online casino gaming in India - Kadangpintar
    The emergence of online gambling and the หาเงินออนไลน์ evolution of 온카지노 casino gaming in India means that the games have been introduced to 메리트카지노 the market through innovative

    ReplyDelete

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.