VIDEO: WCB WANAKULETEA NGOMA MPYA YA RICHARD MAVOKO FT DIAMOND PLATNUMZ - KOKORO ITAZAME HAPA



Leo imekuwa kama suprise kwa mashabiki wa team nzima ya WCB baada ya kudondoshwa collabo ambayo iliokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa kati ya Rich Movoko na Diamond Platnumz na wasanii hao wameweza kukata kiu za mashabiki wao kwa kuwapatia nyimbo yao ya pamoja inayokwenda kwa jina KOKORO nimekusogezea mpaka mlangoni uweze kuitazama na kunipa maoni yako mdau wangu wa SIRI ZA JAMII.

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.