VIDEO: MSANII WA NIJERIA TEKNO AMWAGIA SIFA LUKUKI DIAMOND PLATNUMZ KWENYE JUKWAA LA FIESTA USIKU WA KUAMKIA LEO
Msanii wa nijeria ajulikanae kwa jina la tekno ambae pia anatamba na kibao chake kilichoshika maeneo mbali mbali Africa kijulikanacho kama" PANA" amejikuta uzalendo ukimshinda katika jukwaa la fiesta usiku wa kuamkia leo na kumtaja Diamond Platnumz kama msanii anaemkubali na kutumia neno" blood brothers" akimaanisha ukaribu wake mkubwa na star uyo wa "SALOME"

VIDEO

VIDEO

Leave a Comment