UJUMBE ALIOANDIKA VAN PERSIE BAADA YA KUPATA JERAHA LILILOMWONDOA UWANJANI MWISHONI MWA WIKI ILIYOPITA
Robin van
Persie amewaondoa hofu na wasiwasi mshabiki wake baada ya kupata jeraha
baya la jicho katika mchezo wa Jumapili ya wikiendi iliyopita.
Mshambulizi huyo
wa zamani wa Arsenal na Manchester United alipata ajali kwenye jicho
lake katika kipindi cha kwanza kwenye mchezo kati ya Fenerbahce na
Akhisar Belediyespor, hali iliyomlazimu kukikmbizwa hospitali kutokana
na kutokwa damu nyingi sana.
Mapema kabla ya jeraha hilo alikuwa tayari amefunga bao, lakini tukio hilo lilimfanya.
Mshambuliaji huyu alishawahi kuzichezea Arsenal na Manchester United kwenye ligi kuu uingereza.

Leave a Comment