TID: NITAIFUNGA TAASISI HII FEKI YA CLOUDS FM - SOMA HAPA KISA CHA TID KUTAKA KUIFUNGA CLOUDS FM
Msanii mkongwe TID mnyama awatupia lawama clouds fm akidai wamlipe fedha akidai amefanyiwa dhuluma, kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika maneno hayo na kuulaumu uongozi wa radio ya clouds.

tidmusicMY Mentor @majani187 in any other way did you Produced this Song in clouds Fm Studio?....? Mimi nataka kulipwa Haki Yangu siwezi kukubali.

Leave a Comment