TAIFA STARS VS ZIMBABWE KURUSHWA LIVE AZAM TV
Jumapili November 13 timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itakuwa
ugenini ikicheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Zimbabwe mjini
Harare.
Kituo cha Azam TV kupitia channel zake za Azam TWO na Azam Sports HD
zitaonesha mtanange huo moja kwa moja (mubashara) kuanzia saa 10:00
jioni saa za Afrika Mashariki.
Lipia kifurushi chako sasa ili usipitwe na mechi kali zitakazooneshwa weekend hii na kuanzia wiki ijayo.


Leave a Comment