MTAMBUE MGOMBEA ANAYEONGOZA KWA KURA KATIKA MBIO ZA URAIS UFARANSA
Waziri mkuu mstaafu wa ufaransa
Francois Fillon, anaongoza kwa ushindi katika mzunguko wa kwanza wa
mchujo wa mgombea Urais katika chama cha
Republicans.
Kwa zaidi ya robo tatu ya kura zilizohesabiwa Fillon
anamtangulia waziri mstaafu Alain Juppe, na Rais wa zamani Nicholous
Sarkozy aliyemaliza muda wake ambaye ameshikilia nafasi ya tatu.
Sarkozy amekubali kushindwa na ameahidi kumpigia kura Fillon katika mpambano unaofuata siku ya Jumapili.
Yeyote atakayeshinda, atakuwa Rais wa Ufaransa kwa kumshinda mrengo wa kulia Bi Marine Le Pen mwenye msimamo wa kijamaa.


Leave a Comment