MARCUS RASHFORD KUTUA REAL MADRID? FUATILIA HAPA
Kwa historia ya Manchester united na Real Madrid ni kitu cha kawaida
kwa mastaa wa club hizi mbili kuhama kwenda moja kati ya hizi club. Sasa
kwenye mechi ambayo England imeshinda, imeripotiwa kwamba kulikua na
maofisa wa Real Madrid wamekuja kwenye mechi kwa ajili ya kazi ya
kumuangalia Marcus Rashford tu.
Baada ya kuweza ku-prove kwa kocha Jose Mourihno, Rashford
amefanikiwa kumuweka benchi mcheaji mwenzake Anthony Martial na kuchukua
namba ya kikosi cha kwanza.
Uwezo wake wa kufunga na umri mdogo umewavutia Real Madrid ambao huwa
hawashindwi kufungua kibubu na kutoa pesa kwa ajili ya kumpata mchezaji
wamtakae.
Marcus ambae tangu apewe nafasi na Van Gal ameonyesha uwezo mkubwa
kwenye kikosi cha Manchester united kwa kufunga, amekua kivutio kikubwa
kwa mashabiki na maboss wa club nyingine.
Leave a Comment