MIRATHI: MAGAWANYO WA MALI IKIWA MAREHEMU NI MUUMINI WA DINI YA KIISLAMU
mgawanyo wa mali ya marehemu kwa
mujibu wa Sheria ya Kiislamu, huzingatia mambo muhimu
matatu yafuatayo,
Kwamba:
i. Mwenye mali awe alishakufa (maut al–muwarith)
ii. Pawepo na warithi halali wa marehemu (hayat al-warith),
yaani watoto wa marehemu ndugu wengine wa marehemu.
Warithi hawa ni lazima wawepo na wawe ni warithi hakika
wanaotambulika kisheria wakati wa mauti ya marehemu
iii. Marehemu ameacha mali (al- tarikah I al–mauruth)
iv. Urithi utokane na mali halisi na halali za marehemu na sio
nje ya hizo.
Kabla ya mirathi lazima matatizo yafuatayo yawe yametatuliwa kwanza:
• Madeni yanayokabili mali za marehemu
• Gharama za Mazishi
• Utatuzi wa madeni mengine
• Wosia uwe umefuatiwa
• Warithi halali
Ugomvi katika mirathi ni changamoto kubwa inayotukabili hasa sisi watu wa hali ya chini na ndio maana mimi nikaona nisiiache kulizungumzia swala ili sasa kaa na mimi niendelea ku share na wewe elimu hii kuhusu mirathi na tuweze kusaidiana kifikra kama vijana, itaendelea.....
Leave a Comment