KUELEKEA WHITE HOUSE: OBAMA AWAPONGEZA WAGOMBEA URAIS, AMUALIKA DONALD TRUMP IKULU, ISOME HAPA TAARIFA KAMILI
Rais Obama amempigia simu Donald Trump kumpongeza kwa ushindi
uchaguzi wa urais ambapo pia amemwalika ikulu ya White House mnamo
Alhamisi wajadiliane kuhusu shughuli ya mpito.
Obama pia amempigia Hillary Clinton na kumpongeza kutokana na alivyofanya kampeni.
Rais
Obama atatoa taarifa zaidi Jumatano kutoka White House kujadili matokeo
ya uchaguzi na hatua ambazo tunaweza kuchukua kama taifa kuungana tena
pamoja baada ya kipindi cha uchaguzi huu uliokuwa na ushindani mkali",
katibu wa ikulu amesema kupitia taarifa.
Taarifa kamili isome hapa kutoka ofisi ya katibu:
Leave a Comment