KLABU YA SIMBA KUANDAA KATIBA MPYA, ISOME BARUA YA KIKAO CHAO HAPA
Uongozi wa Simba SC kupitia kwa afisa habari wake Haji Manara, umetoa
taarifa kwa wanachama wake kuwajulisha kuhusu mkutano mkuu wa dharura
kwa ajili ya kurekebisha katiba yao utakaofanyika December 11, 2016
kwenye bwalo la maafisa wa Polisi Oysterbay .
Mabadiliko hayo ya katiba yatafanyika ikiwa lengo kuu ni kutaka
kubadili mfumo wa uendashi wa klabu hiyo kongwe nchini ambapo mwekezaji
Mohammed Dewji anataka kununua hisa asilimia 51 kutoka kwenye klabu hiyo.
Ifuatayo ni barua ya kikao hicho cha dharura.
Leave a Comment