BALAA LA DIAMOND KWENYE TUZO ZA AFRIMMA 2016 NCHINI NIGERIA

Diamond Platnumz ama Simba kama anavyojiita weekend hii hakuwepo bongo hivyo kushindwa kushiriki kwenye tamasha kubwa la Fiesta. Tamasha hilo lilitawaliwa na wasanii wawili kutoka nje ambao ni Tekno na Yemi Alade wote kutoka Nigeria na wasanii wa ndani walikuwa zaidi ya 30. 
Diamond yupo nchini Nigeria ambapo amepiga show ya nguvu kwenye sherehe za tuzo za Afrimma zinazofanyika nchini humo. Hapa chini nimekuwekea picha za vurugu alizozifanya Diamond nchini Nigeria ikiwemo kuipaisha bendera ya Nchi. 







No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.