BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI TUZO YA WA BEST AFRICAN ACT, ALI KIBA AMEYASEMA HAYA KUTOKA MOYONI
Mkali na legendary mkubwa wa mziki, anayetamba na ngoma yake ya Aje atoa shukrani zake za dhati kwa wadau mbalimbali baada ya kutangazwa mshindi wa BEST AFRICAN ACT ikiwa ni baada ya MTV EMA kusahihisha makosa yao ya kumtangaza mshindi kuwa WIZKID.
Masahihisho hayo yalitokana na malalamiko megi yaliyotelewa na wadau mbali mbali wa mziki pamoja na menejimenti inayomsimamia Ali Kiba. MTV waliandika yafuatayo kufuatia ushindi wa Ali.
Baada ya taarifa hiyo kutoka MTV EMA Ali Kiba alikuwa na haya ya kusema;
Namshukuru MUNGU Na Shukrani kwa MTV kwa heshima hii, nina furaha sana
kwa ushindi huu, ni heshima kwangu na nchi yangu Tanzania
pamoja na East Africa nzima kiujumla. Shukrani sana kwa familia yangu,
management yangu na mashabiki zangu wote – nawapenda sana
#bloodfanswaalikiba #Kajiandae #KingKiba “Ningependa pia kuchukua nafasi hii kushukuru vyombo
vya habari vyote, watangazaji, waandishi na wadau wote wa sanaa kiujumla
kwa kunisapoti katika kazi zangu.Lastly, nawashukuru wasanii wenzangu wote mlionipa ushirikiano na
kuthamini kipaji changu kwa kuniombea kura zilizonipa ushindi. Ushindi
wangu ni ushindi wa sanaa yetu sote. Proudly Tanzanian
MUNGU awabariki sana. #TupoPamoja #Kajiandae #KingKibaNamshukuru MUNGU Na Shukrani kwa MTV kwa heshima hii, nina furaha sana kwa ushindi huu, ni heshima kwangu na nchi yangu Tanzania pamoja na East Africa nzima kiujumla. Shukrani sana kwa familia yangu, management yangu na mashabiki zangu wote – nawapenda sana#bloodfanswaalikiba #Kajiandae#KingKiba”

Leave a Comment