ALIKIBA AJINYAKULIA TUZO MBILI ZA THE NOLLYWOOD & AFRICAN FILMS CRITICS (NAFCA)
Alikiba amechukua tuzo katika vipengele viwili kwenye tuzo za heshima kubwa za The
Nollywood & African Film Critics (NAFCA) ambazo hutolewa nchini
Marekani.
Shughuli nzima ilifanyika Jumamosi ya November 19 kwenye ukumbi wa Alex Theatre of Glendale kwenye jimbo la Calofornia nchini Marekani. Tuzo hizo zimefanyika hii ikiwa ni mara ya sita na ilifanikiwa kurushwa hewani katikia nchi mbali mbali duniani
Heshima kubwa ziende kwa Alikiba kwa kuliwakilisha vyema taifa la Tanzania, zitazame tuzo hizo hapa chini




Leave a Comment