WALIMU WALIOHUSIKA KUMUADHIBU MWANAFUNZI KWA KUMSHAMBULIA WAMECHUKULIWA HATUA
Mnamo
Tarehe 26.9.2016, mwanafunzi aitwaye Sebastian Chinguku wa form 3A
mbeya day sec school aishie Uyole alipigwa na walimu watatu, Mwl Frank
Msigwa, John Deo UDSM na Sanke Gwamaka wa Nyerere Memorial, wote wakiwa
mafunzo.
Mwl
Frank alitoa assignment ya Kingereza na baadhi ya wanafunzi hawakufanya
akiwepo Sebastian hakufanya, darasani mwl alimpiga kofi kijana na
kijana akahoji kwanini anampiga wakashikana koo, ndio walimu wakamchukua
na kumpeleka staff room na kuanza kumpiga vile. Tangu tar 29. September
mwanafunzi hakuonekana shuleni.
Na
mwl Esther Harembo wa Iringa University ndio aliyekuwa akisema mwacheni
mtamuumiza. Ndio aliyechukua video. Hao walimu wote hawapo wameondoka
kwenda kwenye vyuo vyao.
POLISI
wanaendelea kuwahoji uongozi wa Mbeya Day Sec School na Mwanafunzi
aliyeumizwa ikiwepo kumpeleka hospitali."Nimeelekeza vyombo vya dola Dar
wawatafute chuoni kwao hao walimu kuhusiana na shambulio hilo kwa
mwanafunzi huyo. " Mheshimiwa mwigulu Nchemba
Leave a Comment