WALICHOANDIKA MAGAZETINI ULAYA NA WACHEZAJI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BAADA YA MECHI YA LIVERPOOL NA MANCHESTER UNITED

Hapo jana usiku majira ya saa nne kamili usiku kwa saa za Afrika mashariki, Liverpool walikuwa wakichuana vikali na Manchester united kwenye uwanja wa Anfield. Mchezo huo uliisha kwa sare ya kutofungana, ambapo Liverpool walimiliki mpira kwa asilimia kubwa lakini nguzo za ulinzi za vijana wa Jose Mourinho zilikuwa ngumu kuzipita.
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesikitika kwa matokeo ya sare kwani aliamini walistahili kushinda mchezo huo. 
Na hapa chini nimekuletea walichoandika magazeti ya ulaya katika kurasa zake za mwanzo na walichoandika wachezaji katika kurasa zao za mitandao ya kijamii.

 Gazeti la "The Times" limeonekana likimpa sifa nyingi kipa wa Man United David De Gea

 Gazeti la "Express" pia limemweka De Gea kama mhimili mkubwa wa mchezo wa jana

 "The Daily Mail" wamesema Mnchester United walipaki basi Anfield

Walichosema wachezaji baada ya mchezo wa jana

 Kiungo Ander Herrera naye alitia neno kwa ajili ya United

 Simion mignolet aliangalia mchezo akiwa bench

 

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.