VIDEO: MUONEKANO WA NYUMBA YA DIAMOND PLATNUMZ KWA NDANI YA UKO SOUTH AFRICA
Imekua uvumi kila kukicha wasanii wa bongo fleva wakionesha mali zao ikiwa ni pamoja na majumba ya kifahari waliojenga wasanii, hao kama tulivyoona hapa juzi alikiba alishare mjengo wake japo baada ya kuulizwa alikana na kudai taarifa hzo ni za uzushi na zipuuziwe kwamba yeye anaishi kwenye nyumba ya kupanga japo mashabiki wanapingana na ukweli huo kutokana na kile kinachosemekana Alikiba hapendi kuonesha mali zake na sio mtu wa kujiproud pia ulikuwepo utata kwamba nyumba alionunua Diamond platinumz sio yake lakini ameweza kuweka mambo bayana kuwa yeye ni mmiliki halali wa jumba hilo lililopo South Africa na hapa ameshare na sisi muonekano wa ndani wa jumba hilo la kifahari
PART 1
PART 2

Leave a Comment