VIDEO: MAZOEZI YA DIAMOND PLATNUMZ KABLA YA KUTUMBUIZA MTV MAMA JUMAMOSI YA LEO TAREHE 22 OCTOBER 2016


Image result for diamond platnumz mtv mama 2016

Majina ya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016 yalitajwa huku Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz na kundi la Navy Kenzo pamoja  na Alikiba ndio wasanii wa Tanzania waliotajwa kuwania tuzo kubwa za Africa za MTV Africa Music Awards 2016.
Diamond anawania kipengele kimoja cha Best Male ambacho anachuana na Black Coffee (South Africa), Wizkid (Nigeria), AKA (South Africa),  Patoranking (Nigeria). Tuzo hizi zitatolewa  leo Jumamosi ya tarehe 22 October, 2016 huko Johannesburg, Afrika Kusini na tukio hilo kuoneshwa moja kwa moja kupitia channel ya MTV Base.
Na hapa Diamond platnumz ameshare nasi video ikimuonesha anafanya mazoezi katka kujiandaa na show ambayo anaitajika kutumbuiza leo katika ugawaji wa tuzo hzo za MTV MAMA leo Jumamosi.

PART 1:

Diamond platnumz na team yake nzima katika mazoezi jijini South Africa wakijiandaa na show.

PART 2:


No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.