VIDEO: MAALIM SEIF APIGWA MARUFUKU KUZUNGUMZA MISIKITINI ZANZIBAR
Katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF Maalim Seif, amepigwa marufuku kuzungumza katika misikiti visiwani Zanzibar.
Mgogoro wa kisiasa baina ya chama cha wananchi CUF na serikali ya
Zanzibar unaendelea kufurukuta licha ya jitihada zinazoendelea za kutatua
mgogoro huo.
Hali hiyo imejitokeza baada ya katibu mkuu wa CUF
Maalim Seif kupigwa marufuku kuzungumza misikitini hatua ambayo
imepingwa na baadhi ya vyama vya upinzani nchini Tanzania.
Kwa Habari zaidi tizama video hii
Subcsribe katika blogu ya siri za jamii kwa taarifa zaidi
Leave a Comment