SAMAKI MKUBWA KUPITA KIASI AKUTWA AMEKUFA UFUKWENI KILWA MASOKO, WATU WAJISEVIA NYAMA

Image result for samaki mkubwa alikutwa ufukweni
Baadhi ya wakazi wa Kilwa Masoko wakikata nyama ya samaki mkubwa mwenye urefu wa Futi 30 aliyekutwa amekufa pembezoni mwa Bahari ya Hindi Ufukwe wa Kilwa Masoko leo. Haikuweza kufahamika samaki huyo alikotokea huku wengi wakieleza kuwa ni kutokana na umri mkuwa wa samaki huyo aliyekufa na kusogezwa ufukweni na mawimbi ya bahari.
Image result for samaki mkubwa alikutwa ufukweni
Add caption
Image result for samaki mkubwa alikutwa ufukweni

Image result for samaki mkubwa alikutwa ufukweni

Baadhi ya Wananchi wakiwa juu ya mgongo wa huyo samaki mkubwa wakifanya utalii wa ndani ambaye mpaka sasa hakufahamika jina lake mara moja

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.