RAPPER FUTURE KUTOKA MAREKANI AUNGANA NA DIAMOND PLATINUMZ NA ALIKIBA KUTUMBUIZA MTV MAMA AWARDS


Future has been labeled the current reigning king of trap music. Credit: Getty Images

cthe7wfxeaaduu2
Future ataungana na Alikiba na Diamond na wasanii wengine wa Afrika kwenye orodha ya wale watakaotumbuiza jioni hiyo jijini Johannesburg.

“We are proud to announce that @1future will be joining for the #MTVMAMA2016!!! #FutureMTVMAMA,” wameandika MTV Base kwenye Twitter.
Rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Nayvadius DeMun Wilburn ana album nne hadi sasa, Pluto (2012), Honest (2014), DS2 (2015) na EVOL (2016).

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.