PICHA: JUMBA JIPYA LA KIFAHARI LA MSANII ALIKIBA LAWEKWA HADHARANI


743df81f-f1f3-4dd7-b4d6-c3db01bf5c0e
Baada ya kimya kirefu msanii wa bongo fleva kupitia ukurasa wa instagram ameweka hadharani jumba lake la kifahari lililopo maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam japo haikuwekwa wazi thamani ya nyumba hyo lakini inasemekana jiko peke ake limegharimu thamani ya shilling millioni 19 . Alikiba bado hajaamia katika mjengo huo na kama watanzania wanavyojua Alikiba sio msanii wa kupenda kuanika mambo yake hadharani kirahisi lakini tafiti za chini chini zimedai Alikiba amekua akionekana kila mara katika mjengo huo ikidaiwa anafatilia ujenzi, huu ndio mjengo wake mpya ambayo ina ghrofa mbili na sasa mafundi bado wanamalizia decor.

d6a90596-5578-4066-8a6b-c49a3f06d050

e7960aec-4678-449b-a01d-d1c41baa0726

128a9e9b-22ce-40ec-a864-490dc8e070e3


2b15517d-43c6-490f-b7c5-32ca20672aa9

Video ya sehemu ya jumba hilo la kifahari

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.