MENEJA WA DIAMOND PLATNUMZ AMFATA CHRIS BROWN MOMBASA


Saalam sk

NI lengo la kila mtanzania kuona mziki wetu unakuwa kimataifa na unafika mbali ndo sababu ya meneja wa Diamond platnumz amechukua fursa na kusafiri mpaka mombasa ambako inafanyika show kubwa ambayo pia msanii mkubwa kutoka marekani Chris brown atakuwepo kutumbuiza japo meneja akuweka wazi lengo la kwenda kwa ajili ya show na kutamka katika mtandao wake wa instagram kuwa aneenda mombasa kwa mapumziko japo swala ilo limepokelewa tofauti na mashabiki wengi na wadau wa media kwamba lengo sio mapumziko bali ni kutafuta connection kwa ajili ya kufanya kazi na Chris Brown. Kwa jinsi ukaribu wa wizkid na diamond platnumz ulivyo mkubwa itakuwa sio kitu kigumu kwa meneja wa diamond platnumz kupata connection kwa chrisbrown, kama mashabiki na wadau wa media tunategemea kitu kikubwa na kizuri kati ya wawili hao endapo ikitokea na tutakuza muziki wetu kimataifa.

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.