VIDEO: MAGARI YAPATA AJALI MBAYA NA KUWAKA MOTO PAPO HAPO MAENEO YA KIMARA STOP OVER



Basi la kampuni ya safari njema limegongana na lori na kusababisha Ajali mbaya  ambayo imesababisha magari kuungua moto vibaya ni eneo la  katikati ya Kimara Stop over na suka eneo la garage. Ni kwamba bus linatokea Dodoma na lory la cement vimegongana uso kwa uso  na magari yote yamewaka moto na mpaka sasa athari na idadi ya watu walioathirika haijafahamika bado.
Moja ya magari yalioungua moto


magari yaliokutana na kuungua moto vibaya katika eneo ilo




raia wakishuhudia tukio ilo kwa makini
VIDEO

VIDEO IKIONESHA TUKIO ILO KWA UKARIBU
posted by mohamed kabouru

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.