DIAMOND PLATINUMZ AFANYA UAMUZI WA KUSHEREKEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KIPEKEE

Mwanamuziki Diamondplatnumz asherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kula chakula cha mchana na watoto yatima, na kuwasaida vitu mbalimbali.


Akiongea na Siri za jamii amesema kuwa kuna kipindi kama msanii uangalie pia jamii yako inayokupa sapoti kufikia hapo uliupo kwa hyo watoto yatima nao ni jamii pia wanaitaji uangalizi wa hali ya juu ukiangalia hawana wazazi kwa hyo ni jukumu letu sote watanzania kuchukua nafasi ya ulezi na kuwa nao karibu tunapota nafasi na kupata thawabu kwa mwenyezi Mungu.

Leave a Comment