BARAKA DA PRINCE AKASIRISHWA NA UTANI WA STANBAKORA NA KUMCHANA LIVE MTANDAONI
katika hali ambayo ni ya kawaida wasanii wengi wa comedy ufanya cover za wasanii wengine na kujipatia kipato katika tasnia yao ya commedy lakini hali imekua tofauti baada ya stan bakora kujipaka masizi ili kuonesha uhalisia katika video cover yake lakini kitendo icho kilimkera sana baraka da prince na kudai kuwa ataki matani na stan bakora lakini katika hali ambayo ni yakushangaza stan bakora amepost maneno na kuandika kwamba alipewa ruksa ya kufanya ivyo kwa hyo ameshangazwa na kitendo cha baraka kumaindi wazi wazi na kumpa maneno katika page yake ya instagram.


Leave a Comment