UTAFITI ULIOFANYWA KUHUSU CHUNUSI NA HABARI NJEMA KWA WENYE CHUNUSI

Iwapo wewe ni kijana ambaye ana chunisi ,unaweza kujihisi kana kwamba ni mwisho wa dunia. Lakini utu uzima wako utakusaidia.
Wataalam wanasema kuwa ni kwa sababu watu waliio na acne wana kinga ya mwilini dhidi ya uzee.
Hiyo inamaanisha kwamba vitu kama vile ngozi iliojikunja na ilikonda huonekana baadaye katika maisha.
Kwa nini?
Utafiti huo umechunguza seli nyeupe zilizchokuliwa kutoka kwa mtu mwenye chunusi na kubaini kwamba zina kofia zenye kinga katika mwisho wa kromosomu zake zinazowasaidia kutozeeka haraka.
Leave a Comment