SIRI ZA JAMII: VICTOR WANYAMA WA TOTTEINHAM ATOA POLE KWA WAHANGA WA TETEMEKO LA ARDHI BUKOBA
My thoughts and prayers to the people of Tanzania and Bukoba in particular following the devastating earthquake #TukoPamoja 🙏🏼Sep 12, 2016, 12:24 PM
708
Likes
Ili ni janga ambalo limekumba Taifa kwa ujumla na sisi kama binadamu ni vizuri kupeana pole na moyo haswa katika kipindi kama ichi kigumu kwa ndugu zetu wa kanda ya ziwa ambao wengine wamepotelewa na watu wao na kuonyesha ivyo kiungo wa spurs ameguswa na swala hili na kuamua kutoa pole zake za dhati kwa Taifa na wahanga kwa ujumla.

Leave a Comment