SIRI ZA JAMII: MKONGWE WA MAN UNITED AMPA CHEO PEP GUARDIOLA


Manchester United manager Jose Mourinho speaking during the press conference
Mourinho


Pep Guardiola has urged fans to get behind the team in Europe
Pep guardiola



Pep Guardiola ni Mmoja Maalum yani (The special one), si Jose Mourinho - hivyo anasema mkongwe wa Manchester United Roy Keane

Keane alisema " Guardiola sio mtu wa mchezo kutokana na baada ya baadhi ya maamuzi magumu alioyafanya katika mchezo wa juzi ambao ulikuwa ni mwanzo mzuri kwa mashabiki na club ya man city.

 

Roy Keane alidondosha pigo jingine kwa Jose Mourinho kufuatia mwishoni mwa wiki Manchester derby kushindwa.
Kioungo wa zamani Man United na mkongwe wa klabu hyo amechukua cheo cha the special one cha Mourihno na kumkabitdhi pep guardiola wa mancity 

Keane amepongeza ushawishi mkubwa wa kocha huyo mpya raia wa Hispania ndani ya Etihad.
Keane anasema yeye amependa  maamuzi mazito ya Guardiola kuamua watu waliovaa uhusika wa kutumia nguvu  katika klabu kama vile Joe Hart na Yaya Toure hawakuwa sehemu ya mipango yake.




No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.