POGBA AENDELEA KUNG'ARA ULAYA NA DEAL NYINGINE NA ADIDAS

adidas paul pogba manchester united move


Adidas kampuni ya vifaa vya michezo ambayo ina makazi yake ujerumani tayari wanaendelea kuongeza umaarufu kwa kwa mchezaji paul pogba ambae ivi karibuni alivunja rekodi ya usajili na Adidas wamemtengenezea kiatu maalum na cha thamani na cha kipekee ambacho atacheza nacho katika mechi kali dhidi ya manchester city utakaochezwa ivi karibuni 

Iki ndicho kiatu ambacho kimetengenezwa na ADIDAS kwa ajili ya Pogba

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.