PICHA: TETEMEKO LA ARDHI KANDA YA ZIWA NA KUSABABISHA MAAFA MAKUBWA LEO SEPTEMBER 10, 2016
HIZI NI MOJA YA NYUMBA ZILIZOATHIRIWA VIBAYA NA TETEMEKO ILO MAENEO HAYO YA KANDA YA ZIWA

Taarifa zilizotufikia ni kwamba tetemeko kubwa la Ardhi limeyakumba maeneo ya kanda ya ziwa
ambayo zaidi ni mwanza na kagera nyumba zabomoka vifo vya watu vyausishwa kaa na mimi ili nije nikuletee taarifa kamili tukiwa bado tunasubiria taarifa kamili kutoka mamlaka husika ambayo ni Leo Septemba 10, 2016, tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa Ritcha 5.7 limeikumbuka mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa Kagera na Mwanza na kusababisha maafa makubwa ikiwemo nyumba za watu kubomolewa.
Maeneo yalioathirika zaidi kwa Tanzania ni, Bukoba, Nsuga na Nsunga.





Leave a Comment