MFAHAMU MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA MASHINDANO YA OLIMPIKI YA WALEMAVU NCHINI BRAZIL

logo ya Rio 2016 Paralympics
 
 Siri za jamii inawahabarisha kuwa hapo jana nchini Brazil michuano ya olimpiki kwa walemavu ( 2016 Rio Paralympics) ilianza rasmi. Ikumbukwe kuwa hii ni michuano ya kumi na tano (15) tangu kuanzishwa kwake na kwa mwaka huu michuano inatarajiwa kumalizika Septemba 18. 
Ignas Madumla Mtweve mwenye umri wa miaka 38, ni mtanzania anayeiwakilisha bendera ya nchi yetu katika mchezo wa kurusha tufe. 
Hii ni hatua nzuri kwetu kama nchi kutokuwa nyuma katika michezo, na tuna imani bwana Ignas Madumla atarejesha heshima kwa kurejea na medali nyumbani. 

 Usisahau ku-like, comment na kushare kwenye page zetu za facebook na instagram inayopatikana kwa jina la "Siri za jamii"

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.