MDAU WA MEDIA AWEKA HADHARANI SIRI YENYE FUNDISHO KUHUSU NDEGE YA SERIKALI

  • lemutuz_nationLIVE HARD FACTS:- Binadam kwa kawaida tunatumia 5% ya Ubongo wetu kufikiri lakini tunao MBURULAZZZ wanaotumia 1% na huwa wanakera sana na kelele zao tunajaribu kuwaelemisha kuhusu Rais Magufuli kulifufua Shirika letu la Ndege na Mapangaboi lakini hawasikii please naomba kuwapa more serious FACTS ni kwamba ...(1). Boeing mnazozitaka zinauzwa moja kwa $ 296M Bombardier tulizo nunua moja ni $35M so kwa 2 tumenunua kwa $ 70M badala ya $592M tumeokoa $502M ...(2). Boeing inatumia Dumu moja la mafuta lita 4 kwa Sekunde Moja so kwa Lisaa Limoja kwenda Songea itatumia lita 14,400 ....lakini Bombardier tulizonunua kwa lisaa limoja zinatumia Lita 400 tofauti ya lita 14,000 ....now kwenda Mwanza Boeing itatumia Saa Moja na Dakika 15 na Bombardier Saa Moja na Dakika 40 tofauti ni Dakika 25 tu ambazo Bombardier itatumia Robo Lita tu .....so tumeokoa Lita 14,000 kwa Safari moja tu ya Lisaa Limoja hapa hapa Nyumbani .....(3). Kama bei ya mafuta ya ndege ni Tsh. 2,000 kwa lita Safari ya Lisaa Limoja tu kwa Boeing tutahitaji lita 14,400 x 2,000 = Tsh. 28M ni Abiria 96 kwa nauli ya Tsh. 300,000 kila mmoja ....lakini kwa Bombardier Safari ya Lisaa Limoja ni lita 398.386875 x 2,000 = 796,773 so itakuwa ni Tsh. 797,000 ......now kwa akili ya kawaida ndio kwanza unafufua shirika lililokufa utaanza na Boeing ya gharama ya Tsh. 28M kwa Saa Moja au Bombardier yenye Gaharama ya Tsh. 8K kwa Safari hiyo hiyo? ....I mean bado kuna gharama za kupanua Viwanja vyetu cause Boeing inahitaji Viwanja vikubwa ila tulizonunua zinatua Viwanja vyetu vyote bila tatizo ndio maana Rais Magufuli akaamua kununua ndege 2 za Bombardier kwa $70M badala ya Boeing 1 kwa $296M ambazo kwa gharama hiyo tungenunua Bombardier 19 .....so guys Chairman Mao aliwahi kusema "NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK" kama huna FACTS nyamaza kuliko kujivua nguo kuwa ni MBURULAZZZZ U know! MUNGU AMBARIKI RAIS MAGUFULI Miezi 10 tu ya Urais wake matunda yanaonekana huko upande wa pili kuna Waliokuwa Mawaziri Wakuu kwa Miaka 11 matokeo ni kama wao Zero% hahahahaha NAFWAZZZZZ! - le Mutuz Nation.

    Share na mimi comment yako hapa mdau wangu nijue mawazo yako pia

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.