MAALIM SEIF NA EDWARD LOWASA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM LEO JIONI
Posted by
Siri za jamii
On 5 sept, 2016
Siri za jamii
On 5 sept, 2016
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana
na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF,
Maalim Seif Sharif Hamad, wakati walipokutana Leo, jijini Dar es
salaam. Ambapo Maalim Seif nyakati za jioni alipomtembelea Edward Lowasa nyumbani kwake Masaki walipokutana kujadili juu ya hali ya siasa visiwani Zanzibar.


Leave a Comment