MAAJABU YA IPHONE 7 NA IPHONE 7 PLUS BAADA YA KUZINDULIWA NA TOFAUTI ZAKE
Ni ule muda mwingine mzuri wa mwaka:iPhone mpya. lakini iPhone 7 na iPhone 7 Plus sio kama simu zinyinge za apple ‘namba zinabadilika’. japo kwa nje zinaweza kuonekana zimefanana zote. Yani iPhone 6S, iPhone 6S Plus and iPhone 6 and iPhone 6 Plus. sasa swali la kujiuliza kama wametuangusha au la? hzi simu zinaenda mpaka Euro 719 kwa GB 32, Mpaka Euro 919 256 GB hapa space ya kutosha pia bila kusahau mkwanja nao umechangamka atari.
Airpods ambazo ni wireless sambamba na hilo zinatumia mfumo mpya wa flash wa (Quad-LED True Tone flash).Add caption |
Mzigo unaweza kustaimili maji ndani ya dakika 30 kwa urefu wa futi kuanzia 3.2 |
Leave a Comment