(Wanakazana kujisifu Matajiri Ilhali watoto zao
wanaishi kwenye Nyumba zakupanga... halaf leo yuleyule wanaemtukana
kutwa kwenye Mitandao kuwa Masikini, kajawa na shida, Kanunua nyumba
kulekule kwao ili watoto wao waishi Maisha bora kama wanayoyatamani...
Heri ya siku ya Kuzaliwa Mama tee wangu.... Nakupenda sana na
unalifahamu hilo...natumai umeipenda Nyumba yetu hii mpya South
Africa... nasubiria kwa hamu kusheherekea nawe siku yako hii kubwa
kesho zanzibar....😙🌷🎉🎂🎂🎉🌷)
Leave a Comment