JINSI YA KUFANIKISHA UHAMISHO WA MWANAFUNZI SHULE ZA SEKONDARI

Poasted by Siri za Jamii
4 sept, 2016

Anko wako nimekuwekea jinsi utaratibu unavyokua kwa kifupi kwa kuwa ni imani yangu kwa mtu anaeitaji swala hili kwa ajili ya mtoto wake afate utaratibu huu japo kwa ufupi lakini umejitosheleza vyema katika kumsaidia mzazi au mlezi.

Unatakiwa utafute nafasi katika shule atakayohamia ukishapata shule unaandika barua ya maombi ya uhamisho,maombi unaandika kwa afisa elimu wa mkoa anaohama mtoto barua hiyo utaisainisha kwanza kwa mkuu wa shule atakayohamia mtoto kuthibitisha kuwa nafasi ipo halafu utaipeleka kwa mkuu wa shule anayohama kisha watakueleza upeleke kwa afisa elimu mkoa anaohama

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.