JESHI LA POLISI LIMEKAMATA SILAHA ZIKIWEMO ZILIZOTUMIKA KATIKA MAUAJI YA ASKARI MBANDE NA VIKINDU

Kama mwanachi wa kawaida una haki na wajibu wa kutoa ripoti ya tukio lolote la kialifu na utaweza kutambulika kama raia mwema na ulinzi juu yako utapewa kwa kutunza siri na ni jambo ambalo litaweza kuteketeza uhalifu nchi hii imesaidia , Ikiwa takribani wiki moja na nusu zimepita tangu askari wanne na ofisa mmoja wa polisi kufariki kwa kushambuliwa na majambazi kwenye matukio mawili ya kukabiliana na majambazi likiwemo lile la Vikindu Mkuranga mkoani Pwani na tukio jingine la ujambazi lililofanyika Mbande Dar es salaam.
 
Leo Kamishna wa polisi kanda maalum ya  Dar es salaam, Simon Sirro amekutana na waandishi wa habari na kutoa taarifa ya kukamatwa kwa majambazi watatu ambao wamepatikana na silaha 23, risasi 835,  bullet proof 03, sare za polisi, Pingu 48 radi0 call 12.


Image result for simon sirro

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.