DAWA ZA KULEVYA NI SUMU KATIKA JAMII YETU MASKINI CHIDBENZI INATIA HURUMA


Rapper ChidBenz

Ni taarifa nyingine na za kustua zilizosambaa baada ya chidbenz mwanamuziki wa Bongo Flava ambae ajamaliza ata mwaka baada ya kutoka sober haouse na kukiri kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya lakini zimekuwepo taharifa kwamba rapa uyo amerudi tena kujidunga dawa za kulevya. kuhusu taarifa za kwamba  Chid Benz amerudi kwenye matumizi ya dawa za kulevya.


‘Ni kweli nimepokea taarifa kwamba Chid Benz amerudia kwenye Madawa najaribu kumtafuta sana ili niweze kumrudisha tena Sober House ninaamini tumpe nafasi ya pili kwani dawa za kulevya ni hatari na hii itakuwa mara ya mwisho kwake’

‘Kwa kesi ya Chid Benz mara ya kwanza alisema amepona baada ya kumpeleka kule Sober House lakini tutampeleka tena na kuhakikisha anapata matibabu bora sana na kuachana na Dawa za kulevya’

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.