DAR: ALIEKUWA MKUU WA UPELELEZI WA WILAYA YA KINONDONI HAUKUMIWA KUNYONGWA



Abdallah Zombe
Mahakama ya Rufani leo imemuhukumu kunyongwa hadi kufa aliekuwa mkuu wa upelelezi wa wilaya ya kinondoni Christopher Bageni.

 Aleikuwa mkuu wa upelelezi wa mkoa Abdallah Zombe pamoja na wenzake 3wameshinda kesi ya rufaa ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini.

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.