ALIEJIRUSHA GHOROFANI KISA MAPENZI AFARIKI DUNIA LEO
Kijana aliejirusha ghorofani nchini Uganda baada ya kutoswa na mpenzi wake aliemsomesha toka kidato cha nne mpaka chuo kikuu na kufanikiwa kupata ajira amefariki leo kutokana na majeraha aliopata baada yakujirusha kutoka ghorofani
je unahisi ni kitu gani kinachowafanya wanawake wawasaliti wapenzi wao wanao wasomesha na kufanikiwa katika maisha? >>>USISAHAU KULIKE,KUSHARE, NA KUKOMENT PAGE YA SIRI ZA JAMII<<<

Leave a Comment