ARSENAL YAPEWA USHAURI NA MCHAMBUZI MAHIRI WA SOKA
Charlie Nicholas mchambuzi wa maswala ya soka uingereza ameyazungumza hayo kwa kutaka kocha wa Everton amrithi Wenger kwa kusema Arsenal inabidi ielekeze macho kwa kocha hyo katika kuikuza klabu.

Arsenal inapaswa kumteua Ronald Koeman kama mrithi wa Arsene Wenger ndani ya Emirates, kwa mujibu wa mchambuzi wa maswala ya soka, Charlie Nicholas.
koeman amekua ni kivutio tangu alivochukua wajibu wa kuifundisha Everton katika majira ya joto na amefanikiwakuongoza vizuri katika meza ya ligi kuu kwa kushinda mechi tatu na kutoa sare katika mechi zao nne za ufunguzi
Everton inaweza kwenda juu ya ligi kama ikiweza kuwapiga Middlesbrough siku ya Jumamosi na Nicholas anaamini Mholanzi ana sifa zote kuchukua kuchukua timu kutoka kwenye mikono ya Wenger wakati Mfaransa huyo akiamua kutundika daluga na kuachia ngazi katika jukumu lake na Arsenal.
![]() |
| Babu Wenger |
Kuna werevu kuhusu Koeman - yeye ni mtu ambae ajivungi hasa katika maamuzi. Mara baada ya kufanya maamuzi anakuwa anamaanisha na anajua nini anafanya.Napenda sana mbinu zake na nina imani ataiongoza vizuri Arsenal ikiwa wenger atakubali kuachia madaraka. "Nicholas alisema, ambae ni mchambuzi wa maswala ya soka.
Unaweza kukomenti kwa kuniandikia maoni yako wewe kama mdau wa soka je ni muda sahihi wa mzee wenger kupata mrithi au la


Leave a Comment