ALIKIBA NA BARAKA DA PRINCE KUTIKISA MASKIO YA MASHABIKI WA BONGO FLAVA SEPTEMBER 13, 2016




Tarehe ya kutoka collabo mabayo iliokuwa inasubiriwa kwa hamu kuja kukonga nyonyo za mashabiki wa bongo flava yataja rasmi na kupitia kurasa ya instagram ya star baraka da price ameweka pica ya kuawaaminisha mashabiki nyimbo hyo kwa kusema " The most anticipated collaboration NISAMEHE will officially be released on 13.9.2016 na kumalizia kwa hash tag ya mrithi wa falme" Hii nyimbo kutokana na maandalizi na picha zinazoendelea kusambaa itakuwa ni nyimbo kubwa sana kwa kuwa itakuwa inamtambulisha msanii baraka da price katika uongozi wake mpya wa rockstar4000 inaysimamiwa na Seven Mosha.


No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.